Mchezaji wa timu ya Stand United, Haruna Chanongo akimtoka Mchezaji wa Toto African juzi katika mechi ya kirafiki iliyochezwa kwenye uwanja wa CCM Kirumba. Timu hizo ziltoka sare ya bao 1-1. |
Tazama picha za mechi kati ya Stand United na Toto African CCM Kirumba
Labels:
habari picha
Post a Comment