vote

Rais atuma kikosi kulipa kisasi kisa vifo vya wanajeshi wake


Kikundi cha wanajeshi waasi nchini Colombia.


Zaidi ya wanachama 18 wa kundi la waasi la FARC wameuawa katika shambulio la angani nchini Colombia.

Shambulio hilo lililotokea kusini magharibi mwa eneo la Cauca, ni baya zaidi tangu mashambulizi ya angani yaliporejea tena, dhidi ya waasi hao mwezi uliopita.

Rais Juan Manuel Santos, alianzisha tena mashambulio hayo baada wanajeshi kumi na moja kuviziwa na kuuawa na waasi hao.

Pande zote mbili zimekuwa zikishauriana tangu mwaka 2012, kujaribu kumaliza uhasama huo, uliodumu zaidi ya nusu karne nchini Colombia.

Chanzo: Hivi Sasa
Share this article :

Post a Comment

 
Support : GUDMUSICS BLOG | Gm Template | Gm Template
Copyright © 2015. NGOWI HABARII - All Rights Reserved
Template Created by 0756494700 Published by GM Template
Proudly powered by gudmusics blog