Mkurugenzi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Agnes Kijazi. |
Mamlaka ya Hali ya Hewa Nchini Tanzania imesema kwamba mvua zitaendelea kunyesha hadi mei 20,2015. Mvua hizo zilizoanza siku ya Jumatatu wiki hii zimeleta madhara ya aina mbalimbali ikiwemo kusabisha vifo, watu kukosa makazi pamoja na kuharibu miundombinu ya Barabara.
Post a Comment