Maelfu ya wakazi wa Mwanza waliofika katika
uwanja wa Magomeni Kirumba jijini Mwanza jana kushuhudia mkutano wa Chadema. Picha Zote na Lordrick Ngowi |
Viongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo
(Chadema) wakiwa katika furaha ya kuwapokea makada wawili wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) jana katika uwanja wa Magomeni Kirumba jijini Mwanza. |
Aliyekuwa Mbunge wa CCM Jimbo la Kahama na
kuhamia Chadema, James Lembeli na Mbunge wa Ubungo, John Mnyika wakiwapungia mkono wakazi wa Mwanza baada ya kuwasili jana. |
Katibu Mkuu wa Chama Cha
Demokrasia na Maendeleo, Dk Wilibroad Slaa akisalimiana na Mbunge wa Kawe, Halima Mdee alipowasili uwanja wa ndege wa Mwanza Jana |
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na
Maendeleo(Chadema), Freeman Mbowe, Akimkabidhi aliyekuwa mbunge wa Kahama, James Lembeli kadi ya chama hicho jana katika uwanja wa Magomeni Kirumba jijini Mwanza. |
Mbunge wa Kawe, Halima Mdee na aliyekuwa Mbunge wa
viti maalumu CCM, Easter Bulaya walipowasili uwanja wa ndege wa Mwanza jana. |
Post a Comment