Mbunge wa Monduli Edward Lowassa akisalimina ana baadhi ya viongozi wa Chadema. |
Mbunge wa Monduli Edward Lowassa katika kikao cha Kamati kuu Chadema. |
Kikao kizito cha Kupendekeza jina la mgombea Urais kupitia Chadema kimefanyika kwa usiri mzito huku mgeni Rasmi akiwa Mbunge wa Monduli Edward Lowassa.
Aidha,Kiongozi wa ACT-Wazalendo Zitto Kabwe amesema kuanzia wiki hii kutakuwa na mtikisiko mkubwa wa katika siasa za Tanzania. Inawezekana kuwa hiyo ni moja ya dalili.
Mara baada ya kikao hicho cha Kamati kuu Chadema inadaiwa kuwa muda wowote kuanzia sasa kutakuwa na Kikao cha Waandishi wa Habari kitakachoa toa taarifa katika kwa umma.
Chanzo: Hivi Sasa
Post a Comment