Mbunge wa Monduli Edward Lowassa akionesha fomu ya kugombea urais mara baada ya kukabidhiwa leo. |
Mbunge wa Monduli Edward Lowassa akiwasalimia wananchi. |
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akimkabidhi fomu ya kugombea urais Mbunge wa Monduli Edward Lowassa leo makao makuu ya Chadema. |
Mbunge wa Monduli Edward Lowassa leo amechukua fomu ya kugombea urais kwa tiketi ya Chadema katika hafla iliyofanyika makao makuu ya Chadema Kinondoni jijini Dar es salaam.
Umati mkubwa wa wananchi umejitokeza kushuhudia tukio hilo.
Post a Comment