Waziri Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye ametangaza kujiuzulu rasmi CCM na kuhamia UKAWA katika ukumbi wa Bahari Beach jijini Dar es salaam.
Akizungumza Dakika chache zilizopita alisema kwamba wananchi wameshachoka wanataka mabadiliko na hivyo ameamua kuhama Chama cha Mapinduzi ili kuimarisha chama cha Mapinduzi kwa vile chama hicho haki kuona umuhimu wake akiwa katika chama hicho.
Sumaye alidai kuwa ameamua kuongeza nguvu Ukawa ili kuhakikisha wanafanikiwa kuishika nchi na kuondoa mfumo wa siasa katika utumishi
Post a Comment