Rais Kikwete akiaga mwili wa Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa jijini Dar es salaam. |
Rais Jakaya Kikwete leo ameongoza waombolezaji kuaga mwili wa aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Kyerwa Marehemu Luteni Kanali Benedict Kitega katika hospitali kuu ya Lugalo jijini Dar es salaam.
Waziri mkuu Mizengo Pinda akiaga mwili wa Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa. |
Kanali Kitega amefariki dunia jana asubuhi katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili ambapo mazishi yake yatanatarajiwa kufanyika kesho mkoani Morogoro.
Post a Comment